Tuesday 9 July 2013
FROM SETH DE JESUS GIOVANNI!!!
Posted on 05:47 by Unknown
Huu ndio ukweli hata ukiupinga..Si Kila Uhusiano ulioingia ukafeli ni mbaya!Hata kama ulikuumiza kiasi gani jiulize faida pia ulizopata kabla hujafungua domo lako kuanza kumtukana na kumkandia kwa kejeli...Ifikie muda tujifunze ku-appreciate hata wale ambao tuliingia nao Mahusiano lakini yakafeli njiani maana yametufundisha kitu...Sasa wewe kila ukiachwa unatukana tu,ooh Kenge sana yule
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment