Sunday 1 September 2013
I WILL NEVER FORGET YOU MY SHARO!!!!
Posted on 06:38 by Unknown
Kuna wakati naweza nikakaa halafu nasema ngoja nimpigie sharo n then it hits me daaaahhh hes no longer with us.Sharo alikuwa mpole despite the actor and comedian than you see,he was very shy ila alikuwa na adabu na mkarimu sanaaaaaaaaa,,wakati niko Tanzania tulikuwa pamoja mda mwingi sana akiniendesha,nyumbani alikuwa halali kwakwe anakuwa na sisi home kama ndugu yetu yaani.Tulikuwa tukiwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment