Monday 1 July 2013
RATIBA NZIMA YA RAIS BARACK OBAMA NCHINI TANZANIA!!
Posted on 15:41 by Unknown
Rais wa Marekani, Mhe. Barack Obama anatarajiwa kuwasili nchini leo tarehe 01 Julai, 2013 mchana kwa ziara ya kitaifa ya siku mbili.Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam, Mhe. Rais Obama ambaye atafuatana na Mkewe Mama Michelle atapokelewa na Mwenyeji wake, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete.Baada ya mapokezi, Mhe. Rais
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment