Friday 31 May 2013
FROM DJ CHOKA AND THE COMMITEE!!
Posted on 12:17 by Unknown
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Kama kamati tunaomba kutoa taarifa kwamba mwili wa Ndugu yetu Albert Mangwea utafika siku ya jumapili ya tarehe 2/06/2013 saa nane mchana na sio siku ya jumamosi kama ilivyotaarifiwa hapo awali , Sababu za Mwili wa Albert Mangweha kushindwa kufika jumamosi kama ilivyopangwa ni kutokana Watanzania wenzetu waishio Afrika Kusini kuomba na wao kutoa heshima zao za
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment