Thursday 30 May 2013
FROM DJ CHOKA!!!
Posted on 08:21 by Unknown
Jinsi ya kuchangia Pesa kwa ajili ya kufanikisha mazishi ya Albert Mangwea:Kwa yeyote uliyeguswa na msiba wa msanii,ndugu yetu Albert Mangwea unaweza kuchangia pesa kufanikisha mazishi kwa kutuma chochote ulichonacho kupitia
hii ACC:NMB 2012505840
ambayo ni ya kaka yake anayeitwa Mangwea Keneth.
Tigo Pesa 0717 553 905.
M PESA 0754 967 738 zote ni za kaka wa marehemu.Msiba uko Mbezi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment