Wednesday 29 May 2013
FROM DJ CHOKA NA KAMATI YA MAZISHI!!!
Posted on 11:20 by Unknown
NIMETUMWA NA KAMATI YA WASANII NISEME HIVI:Katika kikao kilichokaa leo jioni pale LIDARZ CLUB cha wasanii na ndugu wa marehemu ALBERT MANGWEA mimi kama DJ CHOKA nimeteuliwa niwe natoa habari zote za msiba kwenye SOCIAL NETWORK. Sasa basi kila kitu kitakachoendelea kuhusu msiba wa ndugu yetu MANGWEA mimi nitakuwa nawajulisha LIVE.Kamati imenituma niwaambie ndugu zangu watanzani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment