Thursday 6 June 2013
KHADIJA KOPPA AFIWA NA MUMEWE JAFFARI ALI YUSSUF,POLE SANA KHADIJA!!
Posted on 08:05 by Unknown
Baadhi ya viongozi na wananchi wa mkoa wa Rukwa na Mpanda wakimsindikiza kuapanda ndege msanii wa taarab na malkia wa mipasho Tanzania Khadija Omar kopa kwenye uwanja wa ndege wa Mpanda baada ya kupewa taarifa ya kufiwa na mumewe Jafari Ali Yussuf aliyefariki Dunia leo alfajiri kutokana na ugonjwa. Bi Khadija Kopa alikua akitokea kwenye Maadhimnisho ya siku ya Mazingira Duniani kitaifa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment