Wednesday 12 June 2013
ANDREW THANK U KWA KUTUELIMISHA,KEEP ON TEACHING US!!!
Posted on 13:48 by Unknown
Unajua people wanabeba concept tu za kuiga bila kufanya upembuzi. Seriously mi manzi yangu ukimuita bitch! Though najua women wako weak ila patachimbika. Hivi mnajua maana ya bitch!? Maana siku hizi wanasema ndo swagga kuitana "bad bitch". Eti ni sawa na kumpa creditials manzi classic na amabae hashkiki kwa uzuri.Sasa skieni nyie mnaojiita bad bitches. Bitch ni mbwa jike; na wanafananisha na
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment