Thursday 6 June 2013
POSTS FROM FACEBOOK!!!
Posted on 13:53 by Unknown
Nchi yangu ina mashabiki wa kinafiki sana- Kama unampenda msanii - unamkubali unafurahia kazi zake na si msanii tu hata mtu mwenye kazi tofauti - rafiki ndugu au jamaa- jamani mpeni sifa zake akiwa hai - lkn sasa ukimpa sifa- ukiweka picha zake kwenye profile au ukimpa promo mtu aliekufa haisaidii zaidi ya wote mi naona huwa mnawauzi marehemu wallah - kuna wasanii wanafanya vizuri wako hai-
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment