Tuesday 4 June 2013
RATIBA YA MAZISHI YA ALBERT MANGWEHA!!
Posted on 05:05 by Unknown
-Wanakamati wa mazishi pamoja na wasanii akiwepo Profesa Jay, Lady Jaydee, Fid Q, Stamina, Juma Nature na wengine wengi wanaelekea uwanja wa ndege kutoka Viwanja vya Leaders tayari kuupokea mwili wa Mangweha.-Mwili utawasili saa 8 mchana huu.-Baada ya mwili kuwasili uwanja wa ndege, utapelekwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili ambapo utapokelewa na kuhifadhiwa.-Baada ya kuhifadhi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment